ANAOMBA KURA ZENU :MSHINDI WA TMT MKOA WA ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 18 June 2014

ANAOMBA KURA ZENU :MSHINDI WA TMT MKOA WA ARUSHA

Mshindi wa Tanzania Movies Talents Saidi Hassan akipiga picha na Judge wa TMT Joti Mdebwedo
Naitwa SAIDI HASSAN . Nimebahatika Kushinda katika Shindano la
Tanzania Movie Talents (TmT) kuiwakilisha Arusha katika mashindano ya
Kitaifa yatakayo anza hivi karibuni. Wapenda Marafiki Naombeni kura
Zenu ili Niibuke mshindi wa Million Hamsini na kuifanya Arusha kuwa
juu zaidi. Kipindi kinarushwa kila Jumamosi saa 4 usiku. Na marudio
jumapili saa 10 mchana na jumatano saa 5 usiku. Kura zenu ndo
zitanifanya mimi kuibuka Mshindi. Piga mara nyingi uwezavyo. Pia
unaweza ku share ujumbe huu na marafiki zako . Nawapenda sana.
 


Saidi hasan
0756525129
Facebook Account Lerai sanaa Group Arusha
like page yetu kwenye facebook iliuweze kueneza ujumbe mzuri

No comments:

Post a Comment