HARUSI YA KITAJIRI :MAANDALIZI YA HARUSI YA KIFALME YA FRANK MUTAFUNGWA NA ANITA MWEMEZI YAPAMBA MOTO HUKO MAREKANI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 18 June 2014

HARUSI YA KITAJIRI :MAANDALIZI YA HARUSI YA KIFALME YA FRANK MUTAFUNGWA NA ANITA MWEMEZI YAPAMBA MOTO HUKO MAREKANI


Super Frank Mutafungwa na Mchumba wake Anita Mwemezi live at downtown Houston le Mberezzzz kweupe U know na bataz!!

The Man himself Frank Mutafungwa
Ni kwenye hili Jumba la ajabu la Shateau Polonez uko Mbelezzzzz Houston/Texas USA ndipo harusi itakapofungiwa siku ya Tarehe 5/7/2014 wallahi ona mambo ya kweupezzzzzzz U know afu live!!
Super Star Lady J Dee kuburudisha harusi hiyo ya ajabu U know!! ya Mamen Mbongo Frank Mutafungwa wa the Mberezzzzz u know!!
The Construction King Kinjekitile Mwiru and his Family wanategemewa kuruka na this Private Jet kwenda kuhudhuria harusi iyo ya ajabu U know!!




ARE YOU INVITED TO THE ROYAL WEDDING???? July 5 2014. Na Blogu ya Wananchi

No comments:

Post a Comment