Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua mara baada ya kutua
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja,
Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa
Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri wa Nishati wa Nigeria
Profesa Chinedu Ositadinma Nebo na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria
Mhe Daniel Ole Njoolay katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nnamdi
Azikiwe jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria
Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum
for Africa).
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maafisa mbalimbali wa Tanzania
na Nigeria jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako
atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World
Economic Forum for Africa).
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Nishati wa Nigeria
Profesa Chinedu Ositadinma Nebo na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe
Daniel Ole Njoolay baada ya kupokewa katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014
ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika
(World Economic Forum for Africa).
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maafisa mbalimbali wa Tanzania
jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano
wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for
Africa).
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa baada ya kuwasili hotelini kwake na
Waziri wa Nishati wa Nigeria Profesa Chinedu Ositadinma Nebo jijini
Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3
wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe.
Daniel Ole Njoolay, Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Mhe.
Mohammed Aboud Mohammed baada ya kuwasili jijini Abuja, Nigeria, usiku
wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani
kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa). PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment