HOSPITALI BORA KWA UPASUAJI :WENGI WASIFIA HUDUMA YA UPASUAJI WA KUTUMIA MATOBO ‘LAPAROSCOPIA’ KAIRUKI HOSPITAL - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 9 May 2014

HOSPITALI BORA KWA UPASUAJI :WENGI WASIFIA HUDUMA YA UPASUAJI WA KUTUMIA MATOBO ‘LAPAROSCOPIA’ KAIRUKI HOSPITAL

Madaktari wakianza kumfanyia Operesheni ya tumbo kwa ajili ya kuondoa mfuko wa nyongo, mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam kwa kutumia vifaa vya kisasa ambapo mgonjwa hufanyiwa upasuaji kwa njia ya matobo.
Madaktari wakiendelea na upasuaji.
Daktari Bingwa wa Upasuaji  Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia operesheni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya ya upasuaji ambayo hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha uharibifu mdogo kwenye ngozi.  Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga. (Picha na Francis Dande)
Daktari Bingwa wa Upasuaji  Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), akimfanyia operesheni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, kwa kutumia aina mpya ya upasuaji ambayo hufanyika kwa njia ya matobo na husababisha uharibifu mdogo kwenye ngozi.  Kulia ni Barbra Omondi na Grace Machiga. 

Madaktari wakiwa kazini
Mawe yaliyotolewa baada ya upasuaji huo kufanikiwa.

No comments:

Post a Comment