Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkuu KMKM alipowasili katika kambi ya KMKM Kama katika
ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7),(katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara
Maalum za SMZ Haji Omar Kheri.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
akipokea salamu ya hesha ya gwaride la Maafisa wakati ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
akikagua gwaride la Maalum wakati wa ufungaji wa Mafunzo Maalum ya
Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama
Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi waliohitimu mafunzo
ya awali katika kambi ya KmKm kama leo,alipoyafunga mafunzo hayo katika
mkupuo wa saba (7) wilaya ya Magharibi Unguja.
Makamanda
wa KmKm waliohudhuria katika sherehe za ufungaji wa Mafunzo Maalum ya
Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama
Wilaya ya Magharibi Unguja.
TUME YAWATAKA WAENDESHA BVR DAR KUFUATA SHERIA, KUTUNZA VIFAA
-
*Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs
Mwambegele (katikati) akizungumza na washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya
Waa...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment