TEKNOLOJIA KWA SASA :WAZIRI DKT. FENELLA MUKANGARA AKUTANA NA MMILIKI WA STARTIMES JIJINI DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


14 May 2014

TEKNOLOJIA KWA SASA :WAZIRI DKT. FENELLA MUKANGARA AKUTANA NA MMILIKI WA STARTIMES JIJINI DAR ES SALAAM


Star1 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (kushoto) akielezea jambo kwa Mmiliku wa Startimes Bw. I MR. Pang alipotembelea ofini kwa Waziri , jijini Dar es Salaam.Star3. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (katikati) akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Sihaba Nkinga wakati wa kikao chao na mmiliki wa Startime Bw.Pang (kushoto) alipotembelea ofoini kwa Waziri, jijini Dar es Salaam.Star4. (1)Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akiwa katika kikao na mmiliki wa Kampuni ya Star Media Bw. Pang (wa pili kushoto) alipotembelea ofini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia kwa Waziri ni Mkurugenzi Mtendaji wa Startimes Bw. William Lan, Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bw. Assa Mwambene na Mwakilishi wa Startimes nchini Bw. Jack Zhou.
Picha zote na Frank Shija
Afisa Mawasiliano Serikalini, WHVUM

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad