TAHADHARI YA DENGUE :ANGAMIZA MAZALIA YA MBU WAAMBUKIZAO UGONJWA WA DENGUE SASA,NI MUHIMU - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 13 May 2014

TAHADHARI YA DENGUE :ANGAMIZA MAZALIA YA MBU WAAMBUKIZAO UGONJWA WA DENGUE SASA,NI MUHIMU

Mkoa wa Dar es salaam upo kwenye kampeni ya kupambana na Homa ya Dengue na ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mwenye virus vya ugonjwa huu. Mbu ambaye hupatika zaidi muda ya mchana. Mtu hupata virusi vya homa ya Dengue anapomuuma mtu mwenye ugonjwa huu.

Ugonjwa huu unaenezwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine kwa kuumwa na mbu huyu. Kutoka na tatizo hilo mkoa umetoa ushauri wa watu kufanya FUMIGATION kwenye MAKAZI, OFISI, SHULE, HOTELI, BAR na sehemu zote zenye mkusanyiko. Hivyo Kampuni ya NAJUNA GENERAL SUPPLIES/ FUMIGATION DEPARTMENT tunaungana na uongozi wa mkoa kujulisha kwamba tunatoa huduma ya FUMIGATION ya kuua Mbu mazalia yao yote na wadadu wote watambao na kuruka. 

Wasiliana nasi kwa 0715565857, 0754565857 
Ofisi ya Dar es Salaam, 0715602023, 0756602023 
Ofisi ya Mwanza au Email: najunasupplies@kgc.co.tz, gmkalugendo@gmail.com 
 
SAMBAZA UJUMBE HUU KUWASAIDIA NA WENGINE

No comments:

Post a Comment