Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Bi Helen Clark kulia akiwa na madereva wa greda ambalo limetolewa na UNDP kwa mradi wa |
Mkuu
wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Hellen
Clark wa pili kulia akiwa na mkuu wa UNDP Afrika Paul Harrison kulia
na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi wa nne kulia na tano kulia
ni Mratibu wa SPANEST Bw Godwell ole Meing'ataki watatu kulia ni
afisa mahusiano wa TANAPA Bw Pascal Shelutete |
Afisa utalii ofisi ya utalii Nyanda za juu kusini Risara Kabongo akipita kando ya mtando wa kutengeneza barabara hifadhi ya Taifa ya Ruaha uliyotolewa na UNDP kwa mradi wa Spanest |
Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi kushoto akiwa na Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) duniani Hellen Clark jana wakati akizungumza na askari wa hifadhi hiyo kiboko wa majangili nchini |
Mwandishi wa BBC nchini ABOUBAKARI FAMAU kushoto akichukua matukio nyeti wakati mkuu wa UNDP duniani akizungumza na askari wa hifadhi ya Taifa ya Ruaha |
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Bi Hellen Clark kulia akizungumza na askari wa hifadhi ya Taifa ya Ruaha Iringa. |
Mwandishi maarufu wa ITV nchini Vedasto Msungu akichukua matukio |
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Hellen Clark kulia akizungumza na askari wanaopambana na majangili hifadhi ya Taifa ya Ruaha Iringa. |
Mkuu wa UNDP Hellen Clark kulia akiwa na watendaji wa TANAPA akiwemo mratibuMratibu wa SPANEST Bw Godwell ole Meing'ataki wa pili kulia na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi |
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Hellen Clark akiwa katika gari lililotolewa na UNDP |
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Hellen Clark akiwa na mkurugenzi mkuu wa TANAPA Allan Kijazi kushoto kando ni gari lililotolewa msaada wa UNDP |
mwandishi wa BBC Tanzania Aboubakari Famau akiwapiga picha simba katika hifadhi ya taifa ya Ruaha mkoani Iringa wakati wa ziara ya mkuu wa UNDP duniani Helen Clark alipotembelea hifadhi hiyo. |
Mambo akiwa langoni mwa hifadhi ya Ruaha mkoani Iringa Picha na Francis Godwin. |
No comments:
Post a Comment