Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika
mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)
Bibi Hellen Clark aliyemtembelea leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza
baada ya mazungumzo Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa
(UNDP) Bibi Hellen Clark aliyemtembelea leo
Mei 13, 2014
Ikulu jijini Dar es salaam .PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment