MUZIKI KIMATAIFA : Mwanamuziki Jhikoman & Afrikabisa Band kuwasha moto International African Festival-Tubinge,GERMAN - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Apr 2014

MUZIKI KIMATAIFA : Mwanamuziki Jhikoman & Afrikabisa Band kuwasha moto International African Festival-Tubinge,GERMAN

Mwanamuziki wa Reggae , JHIKOMAN anatarajia kuwasha moto katika onyesho la kimataifa huko ujerumani.


Mwanamuziki mashuhuri wa reggae barani Afrika Jhikoman & Afrikabisa Band toka kule Bagamoyo,mkoani Pwani,Tanzania,anarajiwa kuwa miongoni mwa wasanii wakubwa watakao
litingisha onyesho kubwa la 5 International African Festival-Tubingen litakalo fanyika mjini Tubingen,
Ujerumani ya kusini kuanzia 17 Julai mpaka 20 Julai 2014.
Mwanamuziki huyo nyota Jhikoman kwa sasa anawashamoto katika majukwaa ya kimataifa huko ughaibuni ameanzia Finlan,na atakuwepo Norway na kwingineko.
pata buradani kiduchu.


booking +358465919130

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad