Baadhi ya Nyumba zikiwa zimezungukwa na maji
katika Eneo la Mzambarauni Mkoa wa Morogoro kutokana na Mvua zilizo nyesha.
Huyu jamaa anasubiri manusura.....hap jijini Dar
Huyu jamaa anasubiri manusura.....hap jijini Dar
Hapa ni eneo la Msasani jijini Dar....jamaa wakijaribu kuokoa baadhi ya mali zao walizofanikiwa kuwahi.
Nyumba zikiwa zimezungukwa na maji....
Jamaa akiduwaa asijue la kufanya....
Jamaa akiduwaa asijue la kufanya....
Mtoto
huyu akijitahidi kupunguza maji yaliyojaa ndani kwao kutokana na mvua
zinazo endelea kunyesha na kusababisha mafuliko Mkoa
wa Morogoro.
Wakazi wa Morogoro wakipita ndani ya maji kutokana na Mvua
kubwa iliyosababisha mafuliko leo.
Nyumba iliyokuwa ikiendelea kujengwa ikiwa imeezuliwa na upepo huku ikiwa imezungukwa na maji.
Hatari tupu hapa hata wasafiri hawakuweza tena kuingia eneo hili kupata chochote kutokana na eneo hili kujaa maji.
Wakazi wa Morogoro wakiangalia baadhi ya nyumba zilizoezuliwa na upepo na kuzingirwa na maji.
No comments:
Post a Comment