MTOTO WA BLOGGER WA ARUSHA, ATIMIZA MIAKA KADHAA: HAPPY BIRTHDAY TO WAZIRI ATHUMAN MAGANGA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 8 March 2014

MTOTO WA BLOGGER WA ARUSHA, ATIMIZA MIAKA KADHAA: HAPPY BIRTHDAY TO WAZIRI ATHUMAN MAGANGA


 mimi mama yako Woinde shizza napenda kukupongeza kwa kuweza kutimiza miaka sita tangu kuzaliwa kwako tarehe 6-3-2013 napenda nikutakie maisha marefu yenye baraka tele na akulinde na mabaya yote
Na mimi kama Uncle wako, na mkurugenzi wa Wazalendo 25 Blog, Nakutakia maisha marefu yenye baraka tele, mheshimu MAMA yako sana na ushike ELIMU na usiache aende zake. Tunakupenda na tuna kuombea.

No comments:

Post a Comment