Mkurugenzi
Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia
Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao
walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya AICC Jjiini Arusha. Wengine
pichani ni Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC Prof. Sendui Ole Nguyaine (kushoto),
mama mzazi wa watoto hao, Janeth Kimario (katikati) pamoja na wauguzi wa
Hospitali hiyo. Mama huyo alijifungua kwa njia ya
oparesheni wakiwa na afya njema.
(Picha kwa hisani ya AICC)
RAIS KAGAME ATUA TANZANIA
-
*Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame amewasili nchini kwa Ziara ya
Kikazi ya siku moja yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa uwili kati...
20 hours ago
No comments:
Post a Comment