Teknolojia mpya ya upasuaji kwa njia ya Darubini katika Hospitali ya KCMC, Teknolojia hiyo inadaiwa kuokoa muda na gharama za upasuaji pamoja na kupunguza vifo. |
Madaktari KCMC wakimfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia Teknolojia mpya Darubini. |
Dkt. Kondo Chilonga akiongoza madaktari wenzake kumfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia teknolojia mpya ya Darubini ambayo inaruhusu upasuaji kufanyika bila ya kuchana ngozi. |
Dkt. Kondo Chilonga akiongoza madaktari wenzake kumfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia teknolojia mpya ya Darubini ambayo inaruhusu upasuaji kufanyika bila ya kuchana ngozi. |
Timu
ya waandishi wa habari "madaktari feki", kutoka kushoto, Fadhili
Athumani (Mtanzania), Safina Sarwatt (Mtanzania), Flora Temba (Majira),
Gabriel Chissou ambaye ni Msemaji wa KCMC, Sauda Shimbo (TBC) na Bahati
Mustapha (Moshi Fm) baada ya kumaliza kazi katika Theatre. Kwa picha Zaidi Bofya hapa >>> |
No comments:
Post a Comment