MAPATO TANZANIA: DKT. GHARIB BILAL AKUTANA NA KAIMU KAMISHNA WA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA). - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 19 February 2014

MAPATO TANZANIA: DKT. GHARIB BILAL AKUTANA NA KAIMU KAMISHNA WA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Kaimu Kamishna Jenerali wa TRA, Risherd Badei, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Kaimu Kamishna Jenerali wa TRA, Risherd Badei, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, Feb 18, 2014 kwa mazungumzo. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment