KILIMO KWANZA : KAMPUNI YA ANSAF YAFANYA UZINDUZI MWAKA WA KILIMOAFRIKA, MJINI IRINGA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 20 February 2014

KILIMO KWANZA : KAMPUNI YA ANSAF YAFANYA UZINDUZI MWAKA WA KILIMOAFRIKA, MJINI IRINGA

 Mkurugenzi mtendaji  wa jukwaa la  wadau wa  kilimo ANSAF Bw . Audax Rukonge  akizungumza na wanahabari  leo ukumbi  wa RAS Iringa.

Wanahabari  Iringa  wakifuatilia  mkutano  huo kulia ni msanii Mrisho Mpoto
Wadau  wa Kilimo  wakiwa katika mkutano  huo  leo
Msanii Mrisho  Mpoto  kulia  akiwa na  wasanii Masoud  Kipanya kushoto na Profesa  Jay leo  katika  ukumbi  wa  mkuu  wa  mkoa  wa  Iringa, wasanii hawa ni mabalozi wa   uhamasishaji  wa kilimo kwa  vijana na wanawake  nchini  Tanzania. Picha zaidi bofya hapa>>>

No comments:

Post a Comment