KAMATI YA CCM-NEC : DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC MJINI DODOMA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 17 February 2014

KAMATI YA CCM-NEC : DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho Kikwete akiongoza kikao cha NEC mjini Dodoma na kuwaambia wana CCM kuwa uvumilivu una ukomo wake hivyo waache unyonge.
 Mjumbe wa NEC Ndugu Bernard Membe akijadiliana jambo ndani ya ukumbi wa NEC na Martine Shigela kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma.
 Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Lameck Nchemba akijadiliana jambo na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment