MAGOROFA JIJINI ARUSHA : PPF WANAJENGA JENGO LENYE MANDHARI YA KUPENDEZA JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 14 January 2014

MAGOROFA JIJINI ARUSHA : PPF WANAJENGA JENGO LENYE MANDHARI YA KUPENDEZA JIJINI ARUSHA


DSCN0316Mfuko wa PPF unaendelea na uwekezaji katika miradi ya ujenzi na kwa sasa kuna jengo kubwa linaendelea na ujenzi wake katika Barabara ya Old Moshi Jijini Arusha. Jengo hilo ni kwa ajili ya huduma za kibiashara na ofisi mbalimbali. Jengo hilo linatazamiwa kuonekana kama picha inavyoonesha pindi likikamilika mwishoni mwa mwaka 2015. Na Arusha 255 Blog

No comments:

Post a Comment