PICHA YA SIKU : MADEREVA KUWENI MAKINI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 14 January 2014

PICHA YA SIKU : MADEREVA KUWENI MAKINI

Ajali mbaya ilitokea Iringa.

Wazalendo 25 Blog inawaasa MADEREVA wa vyombo vya moto kama vile Gari,Boda boda na mengine kuwa makini wawapo barabarani, kwa kuwa ajali hupunguza maendeleo ya nchi na kusababisha watoto na ndugu kuwa tegemezi kwa watu wengine. MAULID - NJEMA

No comments:

Post a Comment