MWANDISHI AZIKWA : MWANDISHI FORTUNATHA RINGO AZIKWA KIJIJINI KWAO OLD-MOSHI, KILIMANJARO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 14 January 2014

MWANDISHI AZIKWA : MWANDISHI FORTUNATHA RINGO AZIKWA KIJIJINI KWAO OLD-MOSHI, KILIMANJARO

Mwandishi wa habari na mmiliki wa blog ya Bertha Blog Bi. Bertha Mollel (wa kike mbele) akibeba jeneza lenye mwili wa mwandishi wa habari wa gazeti la Habari Leo Mkoani Manyara, marehemu Fortunatha Ringo aliyefariki dunia Januari 10 mwaka huu jijini Dar es salaam kwa ugonjwa wa kuishiwa damu na kuzikwa Januari 13 kwenye kijiji cha Mdawi Old Moshi.
Jeneza lenye mwili wa mwandishi wa habari wa gazeti la Habari Leo Mkoani Manyara, marehemu Fortunatha Ringo aliyefariki dunia Januari 10 mwaka huu jijini Dar es salaam kwa ugonjwa wa kuishiwa damu, likiingizwa kaburini na kuzikwa Januari 13 kwenye kijiji cha Mdawi Old Moshi.
Mwandishi wa gazeti la Mwananchi mkoa wa Manyara, Joseph Lyimo (kushoto) na Meneja wa Radio Safina ya Arusha, Jovin Msuya wakiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Fortunatha Ringo, mwandishi wa habari wa gazeti la Habari Leo Mkoani Manyara aliyefariki Januari 10 jijin Dar es salaam na kuzikwa Januari 13 kijijini Mdawi Old Moshi.

No comments:

Post a Comment