WAHARIRI WATEMBELEA ENEO ALILOUWAWA DAUD MWANGOSI, TUZO YAKE KUTOLEWA KESHO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Wednesday 6 November 2013

WAHARIRI WATEMBELEA ENEO ALILOUWAWA DAUD MWANGOSI, TUZO YAKE KUTOLEWA KESHO

Wahariri  wa  vyombo mbali mbali  vya habari ambao  walishiriki mkutano wa jukwaa la  Wahariri mkoani Iringa wakiwa katika  kijiji  cha Nyololo Mufindi mkoani Iringa  eneo ambalo aliyekuwa  mwenyekiti wa  chama cha waandishi wa habari mkoa  wa Iringa (IPC) Daud Mwangosi  aliuwawa kwa bomu wakati  wa vurugu kati ya polisi na wafuasi wa Chadema, kesho  umoja  wa vilabu  vya  waandishi  wa habari Tanzania (UTP) watatoa  tuzo maalum  ya Daud Mwangosi kwa  mwandishi aliyepitia katika misukosuko mingi zaidi katika kutumikia kazi yake je? ni nani mwanahabari Tanzania atachukua  tuzo hiyo? shinda muda wa maongezi na Francis Godwin Blog kwa  kutaja  atakayeshinda  tuzo hiyo.

No comments:

Post a Comment