SUDAN KUSINI INATARAJIA KUJIUNGA NA EAC HIVI KARIBUNI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Wednesday, 6 November 2013

demo-image

SUDAN KUSINI INATARAJIA KUJIUNGA NA EAC HIVI KARIBUNI

blo+1
Waziri wa Fedha na Maendeleo ya Uchumi wa Sudan Kusini,Aggrey Tisa Sabuni(kushoto)akizungumza na waandishi wa habari juu ya azma ya nchi yake kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Katikati ni Katibu Mkuu wa EAC,Dk Richard Sezibera na Naibu Katibu Mkuu wa EAC(Fedha na Utawala)Jean Claude Nsengiyumva   


blo+2
Ujumbe kutoka Sudan Kusini wakiwa kwenye kikao na Katibu Mkuu wa EAC.
blo+3
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera akizungumza na wageni waliotembelea makao makuu ya EAC jijini Arusha. Na Rweyemamu Blog

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *