Mtaalam wa Kifaa cha AUTOBOSS V30 akisoma taarifa katika kifaa hicho. |
3-86 Solutions
Motto: "Do it right the first
time"
3-86 Solutions inatumia AUTOBOSS v30
Diagnosis System, ambacho ni kifaa/mashine yenye teknolojia ya hali ya juu wa
utambuzi wa tatizo la gari husika. Pia huweza kutambua uwiano halisi kiuweledi
zaidi kutokana na aina ya gari (magari) zaidi ya 50 (50 makes) kutoka Ulaya,
Marekani, Asia kwa mfano; Audi/Volkswagen, Mercedes-Benz, BMW, Volvo, Jaguar
Land Rover, Chrysler, Ford, GM, Honda, Hyundai, Subaru, Suzuki, Isuzu, Nissan,
Mazda, Mitsubishi, Toyota na kadhalika.
Kifaa hiki huweza kupima vitu
vifuatavyo katika gari;
Ø
Uendeshaji (Mfumo wa gia -
Transmission, Distroniki - Distance Radar Sensor, Mfumo wa gari kielektronik)
Ø
Chassis (Ujazo wa tairi, Mfumo wa
breki - Sensotronic Brake, Uwiano wa umeme)
Ø
Body (Control Unit Adaptation,
Actuation, Correction Programming, Initial Statup)
Ø
Mfumo Hewa (Kiyoyozi - AC, Kipasha
joto - Heater)
Ø
Habari & Mawasiliano (Mfumo
hisia wa kuegesha - Parktronic, Telematik, Spidometa ya Digitali Navigesheni,
Redio, Video)
Kwa mawasiliano
Alphonce Michael
P. O. Box 63144,
Dar Es Salaam.
Cel 0715000029, 0763000290,
0686077334
No comments:
Post a Comment