MICHEZO : DKT. JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA KOMBE LA DUNIA JIJINI MWANZA JANA, NA LEO WATU WAKAPATA FURSA YA KUPIGA NALO PICHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Nov 2013

MICHEZO : DKT. JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA KOMBE LA DUNIA JIJINI MWANZA JANA, NA LEO WATU WAKAPATA FURSA YA KUPIGA NALO PICHA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza leo jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akianza kulinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza. Kombe hilo limerejea jijini Dar es Salaam na leo wananchi watapata fursa ya kupiganalo picha.

Hapa ni furaha tu
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar na Vitongoji Vyake wakiwa katika mstari kwaajili ya kuelekea sehemu ya Kupiga picha na Kombe la Dunia katika Uwanja wa Taifa uliopo Wilayani Temeke Jijini Dar leo
Wakazi wa jiji La Dar wakiwa kwenye mstari tayari kwenda kupiga picha na kombe la Dunia lililopo jijini Dar leo katika uwanja wa taifa

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake wakiwa ndani ya eneo la kupiga picha na kombe la dunia
Baadhi ya Raia wa Nchi za Nje wakiwa katika eneo la Kupiga picha na kombe la Taifa katika uwanja wa Taifa Muda huu

Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar wakiwa katika foleni kwaajili ya kusubiri Picha zao ambazo wamepiga na kombe la Dunia muda huu katika uwanja wa Taifa
Kijana mdogo ambaye jina lake halikupatika mara moja akiwa katika eneo la Kupiga picha na Kombe la Dunia mara baada ya kuingia ndani ya Eneo la Kupigia Picha Muda huu

 Hii ndio sehemu moja wapo ya timu nzima inayohusika na kupiga picha

Na Kina sie tulipata nafasi ya kupiga picha na Kombe la Dunia lililopo uwanja wa Taifa Muda huu kwaajili ya wakazi wa Jiji la Dar na Vitongoji vyake kuweza kupata nafasi ya Kupiga nalo picha. Picha zote na Josephat Lukaza.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad