DKT. JAKAYA KIKWETE AREJEA NCHINI NA KUWAAPISHA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA IKULU - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 6 November 2013

demo-image

DKT. JAKAYA KIKWETE AREJEA NCHINI NA KUWAAPISHA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA IKULU



D92A9491
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo amewasili nchini akitokea nchini Afrika ya Kusini alikokwenda kuhudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) na kuwaapisha Makamishna wawili wa Tume ya utumishi wa Mahakama katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana. Walioapishwa katika hafla hiyo ni Dkt.Angelo Mtitu  Mapunda (pichani juu) na Mhe.Georgina Mulebya, (Pichani chini).
D92A9513
Rais Jakaya Kikwete,akimuapisha, Mhe.Georgina Mulebya. Picha na Freddy Maro.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *