BILIONEA WA JIJI LA ARUSHA ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 100 KATIKA SHULE YA INTEL SCHOOLS JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 7 November 2013

demo-image

BILIONEA WA JIJI LA ARUSHA ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 100 KATIKA SHULE YA INTEL SCHOOLS JIJINI ARUSHA

A
Mkurugenzi wa INTEL Schools Arusha Bi. Esther A. Mahawe akimtembeza mkurugenzi wa Kampuni ya Manga Gems na Diwani wa Kata ya Mlangarini Bw. Mathias Manga katika majengo ya shule hiyo.
IMG_4119
Mkurugenzi wa INTEL Schools Arusha Bi. Esther A. Mahawe akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu faida na changamoto zinazo wakabili, alizungumzia changamoto zaidi inayowapata ni Mabweni ya kulala, Madarasa , Waalimu ili kukabiliana na wingi wa watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu ambao wanajiunga na shule yake.
IMG_4126
Mkurugenzi wa Kampuni ya Manga Gems na Diwani wa Kata ya Mlangarini Bw. Mathias Manga akikaribishwa na watoto maalumu na kuvalishwa kitmbaa maalum alipowasili katika shule hiyo.
IMG_4128
Mkurugenzi wa Kampuni ya Manga Gems na Diwani wa Kata ya Mlangarini Bw. Mathias Manga akizindua jiwe la msingi katika shule hiyo ya Intel Schools Arusha.
IMG_4134
Mkurugenzi wa Kampuni ya Manga Gems na Diwani wa Kata ya Mlangarini Bw. Mathias Manga akitembezwa kwenye mabweni na Mkurugenzi wa INTEL Schools Arusha Bi. Esther A. Mahawe
IMG_4136
Mkurugenzi wa INTEL Schools Arusha Bi. Esther A. Mahawe akimuonyesha bweni wanalotumia watoto wa shule yake pamoja na mapungufu ya Mabweni.
IMG_4140

IMG_4143

IMG_4151
Watoto wakitembea kwa ukakamavu katika uzinduzi wa shule ya Intel Schools Arusha.
IMG_4156

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *