SALIM KIKEKE AWASILI MJENGONI (BBC) SALAMA NA KUWASHUKURU WADAU WOTE - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 7 October 2013

SALIM KIKEKE AWASILI MJENGONI (BBC) SALAMA NA KUWASHUKURU WADAU WOTE

Mtangazaji mahiri wa Dira ya Dunia kutoka BBC-Swahili Bw. Salim Kikeke asema "Nimerejea mjengoni. Ahsante sana Tanzania, Ahsante Kenya kwa kunipa likizo murua (Na kazi kidogo) Nimefurahi kukutana na baadhi ya mashabiki wa Dira ya Dunia, samahani sikuweza kukutana na wengine wengi waliotaka tuonane. Panapo majaaliwa, wakati mwingine". kwa hisani ya Facebook page yake.

No comments:

Post a Comment