RAIS JAKAYA KIKWETE AHIMIZA AMANI, NA KUUZIMA MWENGE WA UHURU KITAIFA MJINI IRINGA. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 14 October 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AHIMIZA AMANI, NA KUUZIMA MWENGE WA UHURU KITAIFA MJINI IRINGA.

 Rais Kikwete  akiwa ameushika mwenge wa Uhuru  uwanja wa  samora  Iringa

 Vijana  wa halaiki   kutoka  shule mbali mbali za Manispaa ya  Iringa  wakionyesha umahiri  wao katika kutoa ujumbe wa Mwenge


 Askari  wa FFU  Iringa  wakiwa  wamemkamata  kijana ambae jina lake  bado kufahamika  aliyetaka  kuvamia mwenge  kwa  nia mbaya  wakati wakimbiza  mwenge  wakiwa mbioni kukabidhi mwenga kwa Rais Jakaya  Kikwete uwanja wa Samora Iringa
 Watoto  wa halaiki  wakiwa  wamepumzika
 Rais  Jakaya  Kikwete akiwa amekabidhiwa  rasmi  mwenge wa  Uhuru baada ya  kuhitimisha mbio  zake nchini
 Rais Jakaya  Kikwete  akiwa  katika picha ya pamoja na washindi  wa mbio za mwenge kikanda na jumla
 Rais Jakaya  Kikwete akipokea  mwenge kwa ajili ya  kupiga picha ya  pamoja na washindi wa mbio  hizo kikanda



 Rais  Jakaya  Kikwete akiwa na  viongozi wa  dini  walioshiriki  kumwomba dua baba wa taifa.
 Rais Kikwete akisalimiana na askofu wa Roman Katoliki leo

 Wageni mbali mbali wakiwemo mabalozi  wakiwa katika picha ya pamoja na rais Kikwete

 Wabunge pamoja na katibu  mkuu wa CCM  Philip Mangula wa kwanza kushoto  na Spika  wa bunge Anne makinda wa tatu  kulia anayefuata ni mbunge wa jimbo la Iringa mjini Peter Msigwa
 Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akimpongeza Rais Jakaya  Kikwete kwa  hotuba yake  nzuri " Mheshimiwa Rais  nimeipenda sana hotuba yako leo"
 Rais Kikwete akiwa na  wabunge wa Chadema Iringa ,mchungaji Peter Msigwa na Chiku Abwao ambao  pia  walishiriki kilele  cha mbio za mwenge
 Rais Kikwete akipongezwa na mbunge Chikua Abwao na mbunge Msigwa kushoto
 Mbunge  Chiku Abwao  akipiga  picha ya Spika makinda  leo uwanja wa samora.Kwa picha zaidi bofya www.matukiodaima.com

No comments:

Post a Comment