Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere inasemekana alipenda mchezo wa Basketball. Kulia kwake ni Jakaya M. Kikwete wakifurahia jambo. Pumzika kwa amani baba yetu wa Taifa la Tanzania, Mwl. Julius K. Nyerere.
Makamu wa Rais Zanzibar azindua Tawi la NMB Wete, apokea vifaatiba vya Mil.
12/-
-
NA MWANDISHI WETU, PEMBA
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Hemedi
Suleiman Abdulla, amezindua Tawi la NMB Wete, lililo...
10 minutes ago
No comments:
Post a Comment