MIKUTANO YA MWAKA YA SHIRIKA LA FEDHA LA KIMATAIFA NA KUNDI LA BENKI YA DUNIA YAANZA WASHINGTON DC. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Wednesday, 9 October 2013

MIKUTANO YA MWAKA YA SHIRIKA LA FEDHA LA KIMATAIFA NA KUNDI LA BENKI YA DUNIA YAANZA WASHINGTON DC.


Kutoka kushoto ni Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa, Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Silvacius Likwelile, Mkurugenzi wa Idara ya kupunguza Umasikini MKUKUTA Bi. Anna Mwasha pamoja na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Harry Kitilya  wakisikiliza kwa makini.
Kutoka kushoto ni Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa, Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Silvacius Likwelile akitoa ufafanuzi.
 Ujumbe wa Tanzania wakisikiliza kwa makini hoja zinazotolewa na Waziri wa Fedha hayupo pichani ambaye ni mwenyekiti wa kikao hicho.
Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akimsikiliza kwa makini Afisa Mwambata anayeratibu masuala ya Uchumi, Biashara, na Uwezeshaji ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa Bw. Paul Mwafongo.
 Kutoka kushoto ni Kamishna wa Idara ya Sera Bw. Beda Shallanda akiteta jambo na Mkurugenzi wa Utafiti na Sera za Uchumi wa BOT Dkt. Joseph Masawe.
 Kutoka kulia ni Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Dr. Philip Mpango, Naibu Gavana wa BOT Bi. Natu Mwamba na Mchumi wa Benki Kuu Bi. Sauda Msemo  wakisikiliza kwa makini.
Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe. Yusuph Mzee kulia, akisoma kwa makini taarifa zitakazowasiliswa katika mikutano hiyo wengine ni wajumbe kutoka Tanzania.
Ujumbe wa Tanzania wakisikiliza kwa makini hoja zinazotolewa na Waziri wa Fedha hayupo pichani ambaye ni mwenyekiti wa kikao hicho.Picha zote na Bi. Eva Valerian – Washington DC

No comments:

Post a Comment