MAVAZI YA MHE. MWIGULU MCHEMBA YAZUA MASWALI MENGI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 18 October 2013

MAVAZI YA MHE. MWIGULU MCHEMBA YAZUA MASWALI MENGI







Wakuu habari?
hivi nchi hii sheria, kanuni na taratibu mbalimbali katungiwa nani,
kwasababu watu wanajiamlia tu
angalia huyu alivyo vaa, hivi angelivaa mtu wa kawaida/mwanainchi wa kawaida n.k angepona kweli?
naomba jeshi makini la JWTZ mmuwajibishe huyu mtu pia


kwani haki ni kwa wote watanzania
PICHA CHINI HAPO NI YA JAMAA ALIYEKAMATWA ARUSHA KWA KOSA LA KUTUMIA SARE ZA JESHI PASIPO YEYE KUWA MWANAJESHI,SWALI LA MSINGI JE MWIGULU YEYE KAPEWA RUHUSA YA KUTUMIA HAYO MAVAZI AU LA?NA KAMA SIO INABIDI AWAJIBISHWE KWA MUJIBU WA SHERI A

No comments:

Post a Comment