Nguza
Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza 'Papii' wakiwa na
nyuso za furaha wakati wakitoka katika Mahakama ya Rufaa baada ya majaji
wa Mahakama ya Rufaa Tanzania kusikiliza maombi yao ya kuitaka mahakama
hiyo kupitia hukumu iliyoitoa mwaka 2010.
Nyuso za matumaini.......
Johnson Nguza 'Papii' akibusu mkono wake baada ya kuibusu ardhi mara baada ya kutoka mahakamani.
Papii akinyoosha mkono juu kama ishara ya kumshukuru mungu.
Waandishi wa habari wakiwa chini wakati wa harakani za kuchukua matukio mahakamani hapo.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza wakati wakitoka mahakamani.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza wakiteta jambo na wakili wao, Mabere Marando.
Nguza Vicking
'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa katika
chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa kusikilizwa
kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa
Februari 10-2010 na mahakama hiyo.
Watu waliohudhuria mahakama hapo wakifuatilia kesi hiyo.
Nguza Vicking
'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa katika
chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa kusikilizwa
kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu iliyotolewa
Februari 10-2010 na mahakama hiyo.
Mahakamani.
Kwa Picha Zaidi bofya hapa >>>>
No comments:
Post a Comment