DIAMOND PLATNUMZ AKANUSHA UVUMI KUHUSU UHUSIANO WAKE NA WEMA SEPETU - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 8 October 2013

DIAMOND PLATNUMZ AKANUSHA UVUMI KUHUSU UHUSIANO WAKE NA WEMA SEPETU

Kumekuwa na Uvumi na Habari nyingi sana
Mitandaoni na Kwenye Media tofauti... kwamba mimi na Mwanadada
Wema Sepetu tuna mahusiano ya Kimapenzi, kitu
ambacho Sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu
yeye kucomment kwenye Account yangu ya Instagram?..


Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote?
Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana
Mnapenda kuona watu wanauadui... nimuda
wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania
na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..
I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA. Source: Facebook page yake

No comments:

Post a Comment