WAZIRI MKUU MHE. MIZNGO PINDA AKUTANA NA BABU 'WA KIKOMBE' AMBILIKILE MWASAPILA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Sept 2013

WAZIRI MKUU MHE. MIZNGO PINDA AKUTANA NA BABU 'WA KIKOMBE' AMBILIKILE MWASAPILA



 Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akiwa  na wacheza ngoma wa kabila la Wasonjo  kabla ya kuhutubia mkutano wa  hadhara katika kijiji cha Digodigo wilayani Ngorongoro 

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua magadi  kwenye ziwa Natron  akiwa   katika ziara ya Wilaya ya  Ngorngoro akiwa njiani kuelekea Mtowa Mbu akitoka Loliondo Septemba 24, 2013.  Wapili kulia ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia Mkutano wa hadhara katika kijijicha Digodigo wilayani  Ngorongoro  Septemba  24, 2013.  Kulia ni Mkewe Tunu na kushoto  ni Mkuu wa mkoa wa Arusha  Mulugo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisaliiana na Ambilikile Mwasapila maarufu kwa jina la Babu  wakati alipopita katika kijiji cha Samunge akilelekea Digodigo kuhutubia mkutano wa hadhara Septemba 24, 2013. Alikuwa katika  ziara ya wilaya  ya Ngorongoro . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad