KAMA UNAITAJI MSAADA WA SHERIA KWA NJIA YA RADIO ,PITIA HUMU - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 3 September 2013

KAMA UNAITAJI MSAADA WA SHERIA KWA NJIA YA RADIO ,PITIA HUMU

Katika kuendeleza huduma ya Usaidizi wa Kisheria nchini Tanzania Mwanasheria Amani Mwaipaja amekuwa akiendesha vipindi vya Msaada wa Sheria Kwa njia ya Radio ambapo vipindi hivyo husikika live kupitia radio tatu tofauti za mkoani Morogoro ikiwemo Top Radio Fm- 99. 3 fm (Siku ya Jumatano Saa tatu Asubuhi), Radio Ukweli Fm 92.6 fm (Siku ya Jumatatu kuanzia saa tatu usiku na Radio Okoa Fm-106.2 fm (Siku ya Jumapili)

Picha ni Mwanasheria Amani Mwaipaja ambaye ni Mwasisi wa Mwaipaja Blog akiwa na mwanadada Silvia Chilolo mara baada ya kumaliza kufanya kipindi cha Zijue Sheria ndani ya studio za Top Radio mjini Morogor.

No comments:

Post a Comment