Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Amani Abeid
karume kabla ya kuanza kwa Swala ya Idd el Fitri iliyosaliwa Kitaifa
katika viwanja vya Maisara Suleiman,Mjini Unguja. Kati yao ni Makamu wa
Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi
Kadhi
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji ,akiswalisha Swala ya Idd el
Fitri,ambayo kitaifa iliwaliwa katika viwanja vya Maisara Suleiman
Mjini Unguja leo katika kufuatia kumalizika kwa mwezi Mtukufu wa
Ramadhan
Sehemu ya waumini
wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika swala ya Idd el Fitri,iliyoswaliwaa
kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,kufuatia
kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan
Akina
mama waumini wa Dini ya Kiislamu wakiswali swala ya Idd el Fitri katika
viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,kufuatia kumalizika kwa mwezi
mtukufu wa Ramadhan
Imamu
Mkuu wa Msikiti Masjid Mushawal Mwembeshauri Sheikh Mziwanda Ng'wali
Ahmed,akitoa hutuba ya swala ya idd el fitri,katika viwanja vya maisara
Suleiman Mjini Ungujaleo katika kusherehekea sikukuu hiyo kwa wailamu
wote Duniani
Viongozi
wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Saleh Omar
Kaabi baada ya kumalizika kwa swala ya Iddi el fitrile
No comments:
Post a Comment