PICHA YA SIKU: NIKIWA KWENYE MAZISHI YA MAMA YAKE NA RAFIKI YANGU FRANK R. MZIRAY,SAME KILIMANJARO. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 9 August 2013

PICHA YA SIKU: NIKIWA KWENYE MAZISHI YA MAMA YAKE NA RAFIKI YANGU FRANK R. MZIRAY,SAME KILIMANJARO.

Mkurugenzi wa Arusha Publicity, Gadiola Emanuel na Frank R. Mziray , katika kijiji cha Ishinde, Same Kilimanjaro. katika mazishi ya mama yake na Frank aliefariki tarehe 1/8/2013 kwa ugonjwa wa Moyo. Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment