Jaji mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa na viongozi wengine katika ufunguzi wa kongamano la majaji wanawake,katika hoteli ya Mount Meru, jijini Arusha. |
Jaji mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akipiga picha ya pamoja na viongozi wengine katika ufunguzi wa kongamano la majaji wanawake jijini Arusha. |
No comments:
Post a Comment