TANZANIA : FURAHIA UTALII WA NDANI KATIKA ENEO LA SERENGETI "Siringet" - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 26 July 2013

TANZANIA : FURAHIA UTALII WA NDANI KATIKA ENEO LA SERENGETI "Siringet"

Haya ni mandhari ya ukanda wa wazi wa ukanda wa mbuga za Serengeti...
Huyu ni Duma (Cheetah) akiwa amepumzika katika ukanda wa wazi wa mbuga za Serengeti
Hawa ni nguruwe Pori (Warthog) wakifurahia maji katika ukanda wa wazi wa mbuga za Serengeti
Hapa mimi (mwenye shuka shingoni) nikiwa na askari wa Wanyama pori,  ambao ukifika Serengeti wanakutembeza katika mbuga lote la kujionea Wanyama wa aina tofauti.
Hawa ni Pundamilia (Zebras) wakifurahia mandhari ya pori zuri katika ukanda wa wazi wa mbuga za Serengeti
Hawa ni  jamii ya swala (Thomson Gazzeles) wakila majani katika ukanda wa wazi wa mbuga za Serengeti
Hawa ni Tembo (Elephants) pamoja na watoto wao ,ila huwa ni wakali sana wanavyo kuwa na watoto wao, wakila majani katika ukanda wa wazi wa mbuga za Serengeti.

No comments:

Post a Comment