
Wananchi
wa Muleba wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili
wilayani humo akiwa katika ziara yake ya siku sita Mkoani Kagera

Rais Kikwete akivikwa skafu na skauti baada ya kuwasili Muleba

Vikundi vya ngoma vikitumbuiza wageni

Rais Kikwete akisalimiana na mama wa Profesa Anna Tibaijuka

Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka akishiriki katika ngoma ya utamaduni wakati wa mapokezi ya Rais Kikwete wilayani Muleba

Rais
Kikwete akiongea na viongozi wa wilaya ya Muleba baada ya kupokea
taarifa ya maendeleo, akiwa na mawaziri watano anaoongozana nao katika
ziara hiyo

Mbunge wa Muleba akitoa maoni na kero za jimbo lake

Waziri
wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe akiwahakikishia viongozi wa Muleba
juu ya mipango ya serikali kuleta meli za abiria mpya mbili katika ziwa
Victoria


Rais Kikwete akizindua mradi mkubwa wa maji wilayani Muleba

Rais Kikwete akikata utepe kuzindua mradi wa maji

Rais Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wananchi wa Muleba baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji kwa wilaya hiyo. Kwa Picha zaidi bofya hapa >>>
No comments:
Post a Comment