| Huyu ni Glory Gadiola Emanuel mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, ambae mama yake (Upendo Mwakobela) ametimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa hapa duniani. Kama CEO wa Wazalendo 25 Blog na mume wa mama yake na Glory ,ninamtakia MAMA Glory maisha mema na yenye furaha na amani tele na aendelee kumlea mwanangu katika malezi bora. Mungu awe nae Daima. I LOVE YOU MY WIFE FOREVER...!!! |
Tuzo : Rais Mwinyi Apokea Tuzo
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein
Ali Mwinyi, ametoa wito kwa taasisi na wadau wa sekta ya utalii kuongeza
ushiri...
50 minutes ago
No comments:
Post a Comment