PQ NDANI YA JUMBA LA BBA THE CHASE 2013 SAUZI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Monday 15 July 2013

PQ NDANI YA JUMBA LA BBA THE CHASE 2013 SAUZI

Dj Pq kuiwakilisha Tanzania ndani ya Big Brother The Chase 2013

Dj Pq, (Peter Chasama) kutoka Clouds Media Group, anatarajiwa kupiga ndani ya Big Brother House nchini South Africa, mwaka huu, ambapo atapiga siku ya jumamosi (20) kuwapa shangwe housemates

Dj Pq aliwahi kufanya kazi na kipindi cha XXL Clouds Fm, lakini kwa sasa unamuona kupitia kipindi cha Cloud 9 kupitia Clouds Tv akiwa na DeeAndy. Big ups to ya' PQ...!!!

No comments:

Post a Comment