KATIKA MWEZI HUU MTUKUFU: VITUO VYA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU WANUFAIKA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Monday 15 July 2013

KATIKA MWEZI HUU MTUKUFU: VITUO VYA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU WANUFAIKA

  Rais Mstaafu Mh.Ali Hassan Mwinyi,akikabidhi sabuni na vitabu kwa mmoja wa watoto yatima kati ya 700 wa madrasa kisarawe,wakati wa futari ya pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,walioambatana na Mwenyekiti wa bodi ya Vodacom Foundation Hassan Saleh(kulia)kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom ambayo imetenga kiasi cha shilingi Milion 50 kwa ajili ya kipindi hichi cha Ramadhan.
 Rais Mstaafu Mh.Ali Hassan Mwinyi,akikabidhi Mbuzi kwa mmoja wa watoto yatima kati ya 700 wa madrasa kisarawe,wakati wa futari ya pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom ambayo imetenga kiasi cha shilingi Milion 50 kwa ajili ya kipindi hichi cha Ramadhan. Kwa habari zaidi bofya hapa >>>

No comments:

Post a Comment