Rais Mstaafu wa Awamu wa Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi akizungumza baada ya futari. |
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (CCM), Dk. Asha-Rose Migiro (kushoto) naye alikuwa miongoni mwa waalikwa.
Sauda Mwilima (kushoto), mchumba wa Diamond Penny Mungilwa (kati) na dada wa Diamond Hasna (kulia) wakifuturu.
Mwanamuziki wa miondoko ya mduara Zuwema Mohamed 'Shilole' (wa pili kulia) akiwa na wageni wengine waalikwa.
Meya wa Ilala Jerry Slaa (kulia) na wageni wengine wakati wa futari hiyo.
Mkurugenzi wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta' Asha Baraka (kushoto) naye alikuwepo. Picha na mtandao wa Global Publisherz
No comments:
Post a Comment