Simon Simalenga na Neema wakiwa katika nyuso za furaha baada ya kuuaga ukapera rasmi tarehe 27/7/2013 katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi Sinza jijini Dar es Salaam. |
Basi nichumu.... ni Kiss Mwaaah..... |
Simon Simalenga na Neema wakipata picha ya pamoja na wasimamizi wa ndoa yao. |
Wanafamilia ,ndugu jamaa na marafiki waliokuja kushuhudia Ndoa takatifu ya Simon Simalenga na Neema.Kwa hisani ya Father Kidevu Blog |
No comments:
Post a Comment