Bondia
Mtanzania,Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Australia
(kulia) akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake baada ya
kumtwanga Ekkalak Saenchan wa Thailand kwa KO raundi ya kwanza.
Bondia Mtanzania,Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Australia (kulia) akimsukumia makonde mazito mfululizo bondia Ekkalak Saenchan wa Thailand na kufanikiwa kumtwanga kwa kwa KO raundi ya kwanza mwishoni mwa wiki iliyopita. |
No comments:
Post a Comment