MATUKIO MBALI MBALI: DKT. JAKAYA KIKWETE ALIPOFUTURU NA WATOTO YATIMA ,IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 18 July 2013

MATUKIO MBALI MBALI: DKT. JAKAYA KIKWETE ALIPOFUTURU NA WATOTO YATIMA ,IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi baadhi ya watoto  yatima walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam.Watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam walihudhuria futari hiyo.

 Baadhi ya watoto hao wakihudumiwa futari.

 Baadhi ya watoto hao wakihudumiwa futari.

 Baadhi ya watoto  yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya watoto  yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment