NIGERIA: MWANAMUZIKI ANUNUA MAGARI MAWILI YA KIFAHARI KWA MPIGO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 18 July 2013

NIGERIA: MWANAMUZIKI ANUNUA MAGARI MAWILI YA KIFAHARI KWA MPIGO

Mwanamuziki wa kinigeria Kingsley Okonkwo a.k.a K-Cee amenunua magari mawili ya kifahari kwa mpigo kwa mujibu wa Linda ikeji blog, huyu jamaa amenunua Range Rover ya  2013 (Super Charge) na BMW X6 ya 2013.

Ndani ya gari, siti bado zina maganda yake..!!!

No comments:

Post a Comment