MASANJA ,SHILOLE NA RAIS MSTAAFU MHE. ALI HASSAN MWINYI WAFUNIKA KWENYE TAMASHA LA KISWAHILI NCHINI MAREKANI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 9 July 2013

MASANJA ,SHILOLE NA RAIS MSTAAFU MHE. ALI HASSAN MWINYI WAFUNIKA KWENYE TAMASHA LA KISWAHILI NCHINI MAREKANI

Shilole na Masanja mkandamizaji wakikandamiza na kugaragaza kwenye Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili na miaka 3 ya sherehe ya Vijimambo.
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akihutubia mamia ya Watanzania waliofika kwenye Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili na sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na kulifungua rasmi.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania New York, Bw. Haji akisoma shairi alilotunga maalum kwa ajili ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la Utamaduni wa kiswahili Marekani.
Dj Luke akisoma hotuba yake kabla ya kumkaribisha Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka.
Kaimu Balozi Mama Lily Munanka akishukuru kamati ya maandalizi na kumkaribisha mgeni rasmi Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi.
Kutoka kushoto ni Dj Luke, Mhe, Ali Hassan Mwinyi, Mhe. Ramadhan Muombwa Mwinyi, Mama Lily Munanka, Idd Sandaly na Baraka Daudi katika picha ya pamoja wakati wakiingia ukumbini.
Watoto wa darasa la Kiswahili DMV wakiimba wimbo wa Taifa.

No comments:

Post a Comment