Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya Msiba wa marehemu
Dkt, Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa
marehemu Upanga jijini Dar es salaam, Julai 11, 2013

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano w a Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimfariji baadhi mume wa marehemu, Profesa Maro, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa
marehemu Dkt. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani
kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa na baba wa marehemu Sir George Kahama sambamba na viongozi
wengine wakati walipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam Julai 11, 2013.

Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwasili katika makaburi ya Kinondoni kwa mazishi

Mume wa marehemu Profesa Maro akiwa katika gari hilo na watoto wake

Profesas Maro akiwasili makaburini

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii akitoa mkono wa pole kwa Profesa Maro

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole kwa mfiwa

Mama Salma Kikwete akitoa mkono wa pole

Mama Salma Kikwete akimpa pole binti wa marehemu

Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa pole kwa wafiwa

Pole kwa wafiwa

Pole kwa wafiwa

Sehemu ya waombolezaji

Rais Kikwete akiongea na Profesa Maro, mume wa marehemu

Waombolezaji wakiwa mazishini

Sehemu ya waombolezaji

Watoto na ndugu wa marehemu

Sala ya mazishi

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa na ndugu wa marehemu

Padri Paul Haule akiongoza mazishi

Profesa Maro akiweka udongo kaburini

Wazazi wa marehemu wakiweka udongo kaburini

Mama Anna Mkapa akiweka udongo kaburini

Rais Kikwete na Mama Salma wakiweka udongo kaburini

Fred Maro akiweka udongo kaburini

Babu na bibi wakiweka udongo kaburini

Ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu mazishini

Padri Paul Haule akiongoza mazishi

Profesa Maro akiweka shada la maua kaburini

Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua

Wazazi wa marehemu wakiweka shada la maua

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua kaburini

Mama Anna Mkapa akiweka shada la maua Kaburini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick akitoa heshima baada ya kuweka shada la maua kaburini

Babu na bibi wakiweka shada la maua kaburini

Sehemu ya waombolezaji

Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Dkt Hussein Mwinyi akiweka shada

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiweka saha la maua

Ndugu wa marehemu wakiweka shada la maua

Kaka na dada wa marehemu wakiweka shada

Kaka wa marehemu wakiweka shada la maua

Kaka wa mume wa marehemu na mkewe wakiweka shada la maua

Kaka wa marehemu na mkewe wakiweka shada

Kaka wa muwe wa marehemu na familia yake wakiweka shada

Kaka wa marehemu na mkewe wakiweka shada la maua

Kaka na mkwe wa marehemu wakiweka shada la maua

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiweka shada la maua

Ndugu wa marehemu wakiweka shada la maua

Mkuu wa hospitali ya Hindu Mandal Dkt Kaushik akiweka shada la maua

Madaktari wenzie marehemu wakiweka shada la maua kaburini

Dada wa marehemu akiweka shada la maua

Ndugu wa marehemu wakiweka shada la maua

madaktari ambao ni wana kwaya wakipeleka shada lao la maua kaburini

Msemaji wa familia akitoa shukrani zake baada ya zoezi la kuweka mashada ya maua kaburini. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment